mwenyezi mungu ameumba moto na akawaonya watu na huo moto wamuogope,na ameumba pepo na akawavutia watu ili wamtarajie yeye,kwani kumuogopa mwenyezi mungu kun...
Idul- Ad’ha ni Idi ya kuchinja, ni Idi ya ukarimu, kuwahurumia Maskini, ni Idi ambao mamilioni ya Waislamu wanakusanyika kutekeleza matendo ya dini muhimu za...
ndugu yangu kuna suali muhimu sana kwa kila moja wetu ajiulize je! baada yakifo waenda wapi.? hili ni suala yatakika kila muislamu aliweke akili mwake,kwa sa...
Ni eneo ambayo ina lengo la kutangaza sheria ya Kiislamu katika maadhimisho kama Id Al Fitr, Eid al Adha, Mwaka Mpya, miongoni mwa wengine, Kuanzishwa kwa M...
Kuamrisha mema na kukataza maovu ni jambo kubwa ambalo watu wengi wameghafilika nalo. Ni ubaya uilioje kwa mtu na jamii wenye mwisho mbaya pale wanapojiepush...
Kutoa ushauri mzuri ni msingi wa Dini na shina lake. Kwani Dini ni ushauri mzuri. Na ushauri unakuwa kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Kitabu Chake, Mtume Wake, v...
Kujifunza zaidi kuhusu Kuhirimia.naMaana ya ihram.Mambo yanayo pendekezwa katika ihramu.Mambo yaliyoharamishwa kwa ajili ya ihramu.Maelekezo.Naswaha kwa Mahu...
'Miongoni mwa sehemu zilizo wazi katika visa vya Mitume na Manabii ni sehemu ya kulingania kwa Mwenyezimngu Aliyetukuka na alie juu. Ulinganizi huu una njia ...
Maana ya ibada katika sheria ya Kiislamu ni mapana na inaingia ndani yake kila jema la kidini na la kidunia. Hakika ya ibada ni jina linalokusanya maneno na ...
Kuamiliana na nyoyo ili kuzivuta ni ujuzi unaohitaji mtu auelewe vizuri. Na mtu anayetaka kufaulu katika kuamiliana na nyoyo hana budi ajue funguo na lugha y...
Qur'ani tukufu ni maneno ya Mwenyezi Mungu na ni kitabu Chake kitukufu. Si kama maneno yoyote wala kitabu chochote, ni Teremsho kutoka kwa Mwingi wa hekima M...
subira ni kutu muhimu sana na muislamu atakikana awe na subira katika mambo yake yote,subira katika twaa na subira katika kuacha maasia,na kusubiri juu ya mi...
Uislami ni Dini ya ukatinakati, ni Dini ya uadilifu na msimamo uliyonyoka. Na katika Qur'ani tukufu na Sunna ya Mtume kuna aya na Hadithi nyingi zenye kuone...
Haki ya wazazi wawili iko na inaendelea, na kukaa nao vyema ni lazima, hata kama wao ni makafiri, kwani kuwatenda wema haihusiani na kuwa wao ni Waislamu. Ui...
katika mambo alio tuhadharisha nao bwana mtume muhammad s.a.w ni fitna za wanawake,na kueleza kuwa fitna za wana waisrail ilitokamana na wanawake,na leo ndug...
Vyombo vya utangazaji leo kwa sampuli zake vituo vyake tofauti tofauti vina athari kubwa katika kusinyanga fikra za mtoto, familia na jamii yote na kuongoza ...
Mwenyezi Mungu Ameamrisha kwenye kitabu Chake kitukufu wanawake wajisitiri na wajilazimishe kukaa majumbani mwao; na Ameonya juu kutoka wazi na na kuzungumza...
madawa ya kulevya limekuwa ni janga kubwa kwa jamii yetu,leo vijana wengi wakisalamu wamekosa mustaqbali wao kwa kutumi uraibu huu mbaya,unao angamiza vijana...
Ni eneo ambayo ina lengo la kutangaza sheria ya sheria ya Kiislamu katika maadhimisho kama Id Al Fitr, Eid al Adha, Mwaka Mpya, miongoni mwa wengine, Kuanzis...
Ilimu ni nuru na uongofu. Na ujinga mi giza na upotevu. Ilimu pamoja na Imani ni utukufu duniani na akhera. Na kuifanyia kazi Ilimu ndio matunda yake, na ndi...