Homemade Sheet Metal BenderI have used 2.5 feet long 50/50, 4 mm thick angle iron to make this sheet metal bender.Music Osheen & JayJen - Flying (Vlog No Cop...
#Simbasc#DRCCONGO#Hajimanara#ASVITAWachezaji, benchi la ufundi na viongozi watalala katika hoteli ya nyota tano ambayo timu imeandaliwa na kesho asubuhi wata...
Vijana wanakwambia baada ya Lamine Yamal kuogeshwa tu na Messi basi tabu ikaanzia hapo, na ndio chanzo cha mtoto huyo kusumbua baba zake wadogo uwajani kutokana na ufundi wake.
NYOTA mpya wa Yanga, Prince Dube ana balaa zito ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mechi ambazo anacheza licha ya kushindwa kufunga mabao mengi katika nafasi anazopata huku benchi la ufundi likibainisha kwamba wanasuka upya safu ya ushambuliaji kuongeza makali uwanjani.
Naambiwa hapa Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo. Muda wowote kuanzia sasa taarifa rasmi itatoka na kinachosubiriwa ni kumalizika kwa taratibu za kimikataba ili kila upande upate kinachostahili.